Sisi tuko kwenye kujenga tim na sokuibomoa tim yetu kwaiyo hatuwezi poteza watu muhim hovyo. Kweli simba wametuma ofa kumtaka mudathir ofa nzuri tu lakini sisi hatuko tayari kumtoa kiungo huyo na atasalia yanga kukiwasha adi wakome kwaiyo wana yanga muwe na amani tele kuhusu hili niaminini mimi.
Matarajio yetu nikufika hatua nzuri kwenye mashindano ya club bingwa na ili ufike hatua nzuri lazima uwe nawatu wakukufikisha hatua nzuri. Tuko kwenye mazungumzo na mchezaji Mpanzu ili tuweze kumsajili adi sasa tungekuwa tushamalizana nae shida ni tim yake kumzuia nakuonesha inamuhitaji sana hivyo tuko kwenye mazungumzo mazuri na mchezaji huyo.
Tuko kwenye kujenga tim iwe imara zaidi katika mashindano yote ndani na nje na ili tuwe imara tunahitaji kupata watu watao pambana kwa hali na mali. Huyu ni beki mwenye uwezo mkubwa sana na skills kubwa kwenye mashindano ya caf na ndani pia tuko kwenye kumaliza usajili wake ajiuge na tim ya mabingwa wa Tanzania, green and yellow.
Comments
Post a Comment