MPANZU SOMA HAPA.


 Matarajio yetu nikufika hatua nzuri kwenye mashindano ya club bingwa na ili ufike hatua nzuri lazima uwe nawatu wakukufikisha hatua nzuri.


Tuko kwenye mazungumzo na mchezaji Mpanzu ili tuweze kumsajili adi sasa tungekuwa tushamalizana nae shida ni tim yake kumzuia nakuonesha inamuhitaji sana hivyo tuko kwenye mazungumzo mazuri na mchezaji huyo.

Comments

Popular posts from this blog

KIHUSU MUDATHIR

USAJILI MPYA SOMA