KIHUSU MUDATHIR
Sisi tuko kwenye kujenga tim na sokuibomoa tim yetu kwaiyo hatuwezi poteza watu muhim hovyo.
Kweli simba wametuma ofa kumtaka mudathir ofa nzuri tu lakini sisi hatuko tayari kumtoa kiungo huyo na atasalia yanga kukiwasha adi wakome kwaiyo wana yanga muwe na amani tele kuhusu hili niaminini mimi.

Comments
Post a Comment