USAJILI MPYA SOMA


 Tuko kwenye kujenga tim iwe imara zaidi katika mashindano yote ndani na nje na ili tuwe imara tunahitaji kupata watu watao pambana kwa hali na mali.

Huyu ni beki mwenye uwezo mkubwa sana na skills kubwa kwenye mashindano ya caf na ndani pia tuko kwenye kumaliza usajili wake ajiuge na tim ya mabingwa wa Tanzania, green and yellow.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KIHUSU MUDATHIR

MPANZU SOMA HAPA.