USAJILI NAMBA 10,9NA 3


 Tuko kwenye usajili na kutengeneza tim ili tuweze kuwa na tim bora Sana kwenye mashindano ya club bingwa.


Bado tuko na mazungomzo na wachezaji wazuri na wakubwa namba 10,9 na namba tatu wa nje ili tuimarishe kikosi chetu kiwe Cha ushindani mkubwa mda wowote sajili hizo zitakamilika na nitawaambia tutulie kidogo wana yanga.

Comments

Popular posts from this blog

KIHUSU MUDATHIR

MPANZU SOMA HAPA.

USAJILI MPYA SOMA