USAJILI MPYA.


 RASMI ✍🏽🟢🟡

Ni furaha yangu kubwa kutambulisha rasmi usajili wa Edmund Godfrey, kiungo machachari aliyekuwa akikipiga ndani ya kikosi cha Singida Black Stars.


Edmund ni mchezaji mwenye vision, intelligence na uhodari wa kutawala dimba katikati ya uwanja – sifa ambazo zinaendana kikamilifu na mfumo wetu wa ushindi.


Karibu sana Jangwani, nyumbani pa mabingwa.

Kazi yake sasa ni moja: KUIVAA JEZI YA WANANCHI NA KUILINDA KWA DAMU NA JASHO.


#YangaSC #Wananchi #EdmundGodfrey #TransferNews #DaimaMbeleNyumaM

wiko 🦁


Comments

Popular posts from this blog

KIHUSU MUDATHIR

MPANZU SOMA HAPA.

USAJILI MPYA SOMA