USAJILI MPYA.
Yanga SC yamkaribisha rasmi Kocha mpya wa Ufundi kuimarisha benchi la ufundi kuelekea msimu mpya! 💪💛💚
Karibu sana kwenye familia ya Wananchi, tunahitaji maarifa yako, uzoefu wako na uongozi wako kufanikisha malengo ya msimu huu! 🟢🟡
#WelcomeCoach #YangaSC #DaimaMbeleNyumaMwiko #

Comments
Post a Comment