USAJILI DAMARO.


 Bado tuko kwenye kuimarisha kikosi chetu ili tuwe imara zaidi na zaidi.


Tulikuwa kwenye process za kumtaka kiungo pia toka tim ya singida black star anaitwa Damaro Kwa wasio mfaham huyu ni kiungo mzuri sana na tim yake inamtegemea sana hivyo mchezaji anaitaka yanga lakini kocha wake anagoma hivyo wameweka hela nyingi sana Sana ili tusimchukue na sisi tumetulia kwanza.

Comments

Popular posts from this blog

KIHUSU MUDATHIR

MPANZU SOMA HAPA.

USAJILI MPYA SOMA