RASMI MOHAMED HUSSEIN NI MWANA YANGA
Na tangaza rasmi beki namba tatu beki asilia mchezaji toka nyumbani mfalme wa ardhi ya Tanzania beki kitasa Mohamed Hussein zimbwe au Shabalala rasmi Sasa amejiunga na yanga Kwa mkataba wa miaka miwili.
Pesa yakusaini alio pokea ni milion mia tatu na mshahara Kwa mwezi milion 30 na safari za dubai ticket Bure na kupewa gari aina ya halia anakonda.
Hivyo Wana yanga tumpokee.

Comments
Post a Comment