RAIS WA YANGA KUBAKI YANGA
Wana yanga wengi wamekuwa na hofu kuhusu Mimi Rais wa yanga kugombea ubunge kwamba taacha kusimamia yanga na yanga itadondoka.
Sasa Leo nataka niwafafanulie kuhusu vizui kuhusu hili Mimi kugombea ubunge haizuii ata kidogo mimi kuacha urais wa yanga Kwa mifano mtanielewa.
Tim ya berkane anae imiliki ni waziri wa fedha wa morocco.
Tim ya hapa hapa nyumbani anae miliki pia ni waziri wa fedha wa Tanzania hivyo hio haizuii Kabisa mimi kuacha urais wa yanga dawa ipo palepale.

Comments
Post a Comment