MOHAMED HUSSEIN ZIMBWE USAJILI


 Kila mtu anafaham Kwamba msim ujao tunataka kufanya makubwa katika mashindano ya club bingwa tufike mbali zaidi na zaidi.

Ili tufike mbali tunahitaji wachezaji wenye skills na uzoefu pia kwaiyo lazima tutumie akili kupambana kupata watu sahihi zaidi.


Tuko hatua za mwisho kuweza kumsajili Zimbabwe au Shabalala kuja yanga kila mtu anaujua uwezo wake mkubwa sana uwanjani tumempa hela ya kusaini milion miatatu, pia mshahara wa milion 30 hivyo tunasubiri atoke kwenye majukum ya kimataifa aweze kusaini mkataba.

Comments

Popular posts from this blog

KIHUSU MUDATHIR

MPANZU SOMA HAPA.

USAJILI MPYA SOMA