KUHUSU PACOME,MAX ,AUCHO
Kipindi hiki cha usajili kina mambo mengi sana sana kama usipokuwa makini nakujikuta unahangaika sana nakukata tamaa.
Kuhusu pacome nishazungumza sana kwamba hawezi kuondoka yanga kwa 'sasa ata iweje muwe na amani tele na tele.
Kuhusu Max pia nishazungumza sana kwamba nae bado tuko nae jangwani.
Kuhusu Aucho yeye ndo anaomba kubaki yanga tumekumbalia lakini anataka akae miaka miwili sisi tunataka kumsaini mwaka mmoja kwanza kutokana na majeraha yake na umri unaenda.
Hivyo muelewe hivyo wana yanga.

Comments
Post a Comment