KUHUSU PACOME, MAX


 Tunajua wote kwa sasa tuko kwenye kujenga tim nasio kubomoa hivyo tunahitaji kuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa wakupambana.


Kuhusu pacome tayari tumemuongezea mkataba atakuepo kutupa raha wana yanga.


Max pia mnafaham uwezo wake katika tim yetu nae pia tulisha muongezea mkataba kusalia katika tim yetu mwana yanga tembea kifua mbele.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KIHUSU MUDATHIR

MPANZU SOMA HAPA.

USAJILI MPYA SOMA