KUHUSU MOALIN.


 Taarifa Rasmi Kutoka Meza ya Rais wa Yanga SC 🟡🟢


Leo kwa moyo wa heshima na shukrani, tunamuaga mmoja wa nguzo muhimu kwenye benchi letu la ufundi — Coach Moalin. Safari yetu pamoja imejaa weledi, kujituma na mapenzi ya dhati kwa timu yetu pendwa.


Kwa muda wote uliokaa ndani ya familia ya Yanga SC, umekuwa mfano wa kiongozi, mlezi wa vipaji na mtu mwenye maono makubwa ya mafanikio. Umeacha alama isiyofutika kwenye mioyo ya Wananchi na kwenye historia ya klabu hii kubwa barani Afrika.


Tunakuombea kila la heri huko uendako — mlango wa Yanga SC utabaki wazi daima kwako.

Asante kwa yote Coach Moalin 🟢🟡

#DaimaMbeleNyumaMwiko

#YangaSC #Wananchi

Comments

Popular posts from this blog

KIHUSU MUDATHIR

MPANZU SOMA HAPA.

USAJILI MPYA SOMA