KUHUSU KOUMA.
Tumemleta Lassine Kouma kwa sababu tunajua alicho nacho siyo cha kawaida…!
Huyu ni pure number 10 wa maana kabisa, anayetumia mguu wa kulia kwa ufanisi wa hali ya juu!
Msimu uliopita kule Mali 🇲🇱 alimaliza akiwa nafasi ya pili kwenye orodha ya wafungaji bora – goli 7, assist 6… na akachukua tuzo ya MVP wa ligi ya Mali!
Ni mchezaji mwenye intelligence kubwa uwanjani, anajua kusoma nafasi, kufanya decoy movements za kuwapoteza mabeki na kupiga mashuti ya mbali yenye madhara makubwa.
YANGA hatuchezewi tena msimu huu... Kouma tumechukua kwa mikono miwili!
🔥 Balaa jingine linalokuja kulipuka ndani ya NBC Premier League!
Karibu Jangwani Lassine Kouma 💛💚
#YangaSC #KoumaNiWetu #NguvuMoja #KaziInaendelea

Comments
Post a Comment