KUHUSU ISRAEL MWENDA
Klabu yetu ilishafanya makubaliano na Israh mwenda Ili kusaini mkataba na Yanga SC, kinachosubiriwa ni malipo tu ya fedha za usajili za israel
NB: Singida wapo tayari kufanya biashara ya full back huyo kuja kwetu rasmi.
Kwaiyo makolo mjiandae moto ni ule Ile hauzimwi, pia tufike hatua nzuri mashindano ya club bingwa Africa tunaimani Sana kufika hatua nzuri.

Comments
Post a Comment