KUHUSU FEI TOTO
Kila mtu anaona juhudi tunazo zifanya ili tuweze kufika mbali katika mashindano ya club bingwa hela nyingi sana zinatumika kusajili wachezaji na makocha.
Kama nilivyo lipoti awali mazungumzo mazuri yanaendelea kumpata fei toto nakitu kinacho fanya tuchelewe ni club yake azam inaweka kikwazo ili tusimchukue wakati fei toto anataka sana kuja kuchezea yanga mda kidogo tu tarifa itatoka rasmi.

Comments
Post a Comment