SOWAH USAJILI
Tunahitaji wachezaji ambao mbele watakuwa vizuri Sana Kwenye ufungaji nasio wanao bahatisha tu ukipata nafasi mbili funga nafasi moja hao ndo tunawahitaji kwa Sasa.
Kuhusu sowah kweli tulikuwa tuna muitaji sana ashike nafasi ya kenedy musonda lakini kutokana na tukio alilo onesha Kwenye mechi ya Simba lilifanya tuangalie jinsi gani tutaamua kuhusu yeye.
Rais yupo kwenye kuamua jambo lakumpa mkataba wa kipekee tofauti na wengine ili kulinda heshima na hasira zake,
Mkataba huo utakuwa na faini ambazo kama atakuwa kafanya kosa la hovyo lakutumia hasira basi faini ata lipa mwenyewe na pia kulipa faini Kwa tim kwaiyo akiwa tayari Kwa hilo tuta msajili.
"We need players who will perform well in front of goal, not just those who rely on luck. If you get two chances, you should be able to score one - that's the kind of players we need right now.
Regarding Sowah, we initially wanted him to take up the position of Kenedy Musonda, but due to his behavior in the Simba match, we've had to reconsider. The president is considering giving him a special contract with unique terms to manage his temper and anger issues. The contract would include fines for misconduct, which he would have to pay personally, as well as compensation to the team. If he's willing to accept these terms, we'll sign him."

Comments
Post a Comment